We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 29, 2019

UTACHEKA!!Pierre kaongea live video call na mchezaji wa Tottenham na kupewa shavu

Ni Headlines za Pierre mzee wa liquid  ambapoMachi 27, 2019  baada ya kukutana na Ommy Dimpoz pia akapata nafasi ya kuzungumza na mchezaji wa timu ya Tottenham Victoria Wanyama kwa njia ya video call.
Victoria Wanyama imeonekana kuvutia na mbwembwe za Pierre kupitia mazungumzo ya njia ya video call mchezaji huyo alishindwa kujizuia na kumwambia Ommy Dimpoz amfanyia mchakato wa kwenda Uingereza gharama zote zitakuwa juu ya Victoria Wanyama.
Bonyeza play ujionee Pierre akiuliza mara mbili mbili hakuamini

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list