We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 2, 2019

Trump afunguka haya kuhusu Kim


Licha ya mkutano wa kilele kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un kuvunjika Trump amesema kuwa uhusiano wake na kiongozi huyo ni mzuri. 

Trump aliandika katika mtandao wake wa Twitter siku moja baada ya kurejea Washington na kusema kuwa mazungumzo kati yao yalikuwa ya msingi. 

Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba mazungumzo yao yalivunjika kwa sababu Kim alisisitiza kwamba vikwazo vyote dhidi ya Korea Kaskazini vinapaswa kuondolewa, bila ya nchi hiyo kuachana na mpango wake wa nyuklia. 

Ameongeza kusema kuwa Marekani inajua Korea Kaskazini inataka nini na nchi hiyo pia inajua kile ambacho Marekani inapaswa kuwa nacho. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list