We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 2, 2019

NANDY AMWAGA MACHOZI AKIMWIMBIA RUGE- VIDEO

MSANII wa Bongo Fleva, Nandyameshindwa kabisa kuendelea kuimba wimbo wa Angel Benard, Nikumbusheambao Nandy aliufanya Cover.

Wimbo huo ulikuwa kati ya nyimbo bora sana kwa marehemu Ruge na akiwa hospitali ulipigwa mara nyingi sana kumfariji.
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba, unaagwa leo Februari 02, katika ukumbi wa Karimjee Posta jijini Dar es Salaam.

VIDEO: TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list