Siku ya March 28, 2019 Kutoka Jijini Mwanza kuna taarifiwa kuwa Mwili wa Ndalahwa Mashauri aliekakandamizwa na jiwe kwa siku tatu umefanikiwa kutolewa leo siku ya nne na kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya tataribu za maziko.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment