We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 29, 2019

Jibu la Amunike kuhusu ishu za kumpa kazi Okocha ndani ya Taifa Stars

Baada ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Starskuifunga Uganda 3-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi L wa AFCON 2019 na kufuzu kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39, zilizuka tetesi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike atamteua mnigeria mwenzake Jay Jay Okocha kuwa msaidizi wake katika fainali hizo za AFCON 2019 nchini Misri.
Amunike amekanusha taarifa hizo kupitia TBC 1 na kusema ni uzushi tu “Okocha sio kocha wala simtafuti kocha mpya na hata kama nina mpango wa kuongeza watu watakuwa wanaongeza kitu timu ya taifa, sasa Okocha sio kocha unawezaje kumleta sio kweli watu wanapenda kuongea na kila mtu yupo huru kuongea anachopenda na kutoa maoni yake”
Okocha
Taifa Stars mwezi June 2019 itakuwa Misrikatika fainali za AFCON 2019 ambazo droo yake inapangwa April 12 2019, kama utakuwa unakumbuka vizuri Okocha na Amunikewalicheza pamoja timu ya taifa ya Nigeria kwa miaka 8 (1993-2001)

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list