Shura ya Maimamu Mkoa wa Dar es Salaam imesema haihusiki na yote yaliyozungumzwa na Sheikh Juma Ramadhani katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Machi 27, 2019 Sheikh Ramadhani, aliongea na waandishi wa habari akilaumu chama cha ACT Wazalendo kutumia neno Takbira wakati wa kupandisha bendera yao huko Zanzibar.


No comments:
Post a Comment