We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 23, 2019

Ruby apata mtoto, mpenzi wake Kusah athibitisha taarifa hizo

Hii ni good news ya kuipokea kutoka kwa mwimbaji wa Bongo Fleva Ruby ambaye amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza siku kadhaa zilizopita, taarifa hizi zimethibitisha na mpenzi wake Kusah leoMarch 23,2019 kwenye mahojiano na kipindi cha Bongo Fleva cha Clouds FM.
Kusah ameeleza kuwa kwa sasa wawili hao hawapo tayari kuitaja jinsia ya mtoto wao  mpaka pale watakapo kuwa tayari kumleta kwenye mbele ya mitandao ya kijamii. Kusahamefunguka na kusema kuwa wamekuwa mapenzini na Ruby kwa takribani mwaka mmoja na miezi mitatu mpaka sasa.
Kusah ameweka wazi kuwa alianza kuwa shabiki wa Ruby kimuziki na baadaye walikutana na kuwa marafiki kwa kipindi cha miaka miwili kisha kuwa wapenzi. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list