We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 23, 2019

MC PILIPILI: “Nimezoea kuzinguliwa, sitaki tena mahusiano? sikuwahi kupata mzuri kama huyu” (+video)

“Sikuwahi kupata Mwanamke mzuri kama huyu, siku zote kwenye maisha yangu nilipata Wanawake unakuta ana kitu kimoja tu kati ya vyote ninavyovitaka kwa Mwanamke, huyu amewazidi wote” ni sehemu ya maneno ya Mchekeshaji MC Pilipili akimuongelea Mchumba mpya aitwae Philomena kwenye Interview na Mtangazaji Millard Ayo, bonyeza play hapa chini kumtazama mpaka mwisho
.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list