We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, March 28, 2019

RC Mwanri “kama boya, tutakukamua WhatSapp, Instagram” (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriamewakemea wasaidizi wake wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii badala yake amewataka kutumia taaluma zao kuwasaidia wananchi ili kufikia maendeleo yenye tija.
“Naomba mnisaidie basi twendeni tukafanye mambo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Tabora, vitu vinavyotuharibia mambo tunayozungumza hapa kinaitwa Instagram, WhatsApp hata ukiangalia sasa hivi tunazungumza jamaa wanadonoa I love, I love you too” RC Mwanri

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list