We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

Rais wa TFF Wallace Karia ameweka wazi kutopatikana kwa jezi za Taifa Stars

Moja kati ya habari kubwa iliyokuwa inaendelea katika mitandao ya kijamii wakati kukiendelea na uhamasishaji wa mashabiki wa timu ya taifa ya Tanzania kuwa waende uwanjani katika mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda wakiwa wamevaa jezi kuisapoti timu yao.
Jezi rasmi za timu ya taifa ya Tanzania zilikuwa hazipatikani mtaani huku mawakala wa UhlSports ambao ndio watengenezaji wa jezi za Taifa Stars kusema kuwa hawana mkataba wa kuuza jezi hizo zaidi ya kupewa jukumu la kuitengenezea Taifa Stars jezi za mechi katika kila mchezo na sio  kuuza.
Hivyo mashabiki wengi walienda uwanjani na jezi feki na zisizoiletea chochote TFF, kwani zilitengenezwa na kuuzwa na watu wasiokuwa na makubaliano rasmi na TFF, Rais wa TFF Wallace Karia akihojiwa na Clouds 360 ya Clouds TV ameizungumzia ishu hiyo.
“Unapoingia kwenye uongozi kuna mambo ya kuyafanyia kazi nimeshalifanyia kazi, ile nembo ya TFF tumeingia mkataba na kampuni ya Umbro wanaotengenza jezi za kimataifa zitauzwa kwa Tshs 35000 pia wataingia mkataba na mfanyabiashara atakayeuza jezi”>>> Wallace Karia

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list