We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

Katibu Mkuu mpya CUF “Waliochoma bendera na kufuta rangi zetu tumefungua kesi”

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Wananchi CUF Khalifa Suleiman Khalifa akiongea na Waandishi wa habari amesema Chama hicho tayari kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Vuga kwa wale waliohusika na kuchoma bendera, kufuta rangi za CUF na waliopachika bendera za ACT katika Ofisi zao.
Namnukuu “Tumekusanya ushahidi wa yote yaliyofanyika, majina ya waliofanya vitendo vya kufuta rangi za Chama chetu, waliochoma moto bendera zetu, waliopachika bendera za ACT isivyokuwa halali ktk Ofisi zetu, ushahidi umekamilika, tumefungua kesi ktk Mahakama Kuu ya Vuga” Katibu Mkuu CUF
Taarifa hii ya Katibu Mkuu Khalifa imetokea kukiwa na mvutano katika ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chama cha ACT Wazalendo juu ya matuko hayo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list