We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, March 27, 2019

Mstaafu Kikwete “Rais ameniambia msijenge hapo wanaweza temea mate, tokeni DSM” (+video)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha DSM (UDSM) Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete amesema walipopata wazo la kuongeza Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya ili wasaidie tatizo la upungufu wa Madaktari na wataalamu wa afya nchini.
Mstaafu Kikwete amesema walipanga wajengee majengo ya Chuo hicho DSM kilipo Chuo Kikuu lakini Rais Magufuli aliwaagiza watafute eneo Mbeya wajenge wasibanane na yeye kuonesha kukubali akapiga saluti.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list