We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 29, 2019

Kuna watu wamepanga kuvuruga amani Zanzibar tutawakamata kama Kuku - Waziri Lugola


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema kuwa kuna watu wamejipanga kuvuruga amani ya Zanzibar na kuvuruga amani ya Tanzania watakamatwa mmoja mmoja kama Kuku.

Waziri Lugola amesema kuna watu ambao wanaamini kuwa ni Vyama vya Siasa kumbe ni magenge ya wanasiasa.

"Kuna watu wamejipanga kuvuruga amani ya Zanzibar kuvuruga amani ya Tanzania, lazima tuwaambie kuwa hiyo mipango waliyoipanga watakamatwa mmoja baada ya mwingine kama kuku kabla mipango yao haijatekelezwa," alisema Kangi akiwa Zanzibar.

"Kuna watu ambao sisi tunaamini kwamba vi Vyama vya siasa kumbe ni magenge ya Wanasiasa ambao wanapanga mipango ya kukaidi na kufanya mikutano ya hadhara ambayo imezuiwa nirudie kufanya mikutano ya hadhara ikiwemo maandamano ilhali imekatazwa ili wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo wameanza kuonekana kule maeneo fulani fulani kule Pemba."

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list