We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, March 26, 2019

Kesi ya Ubunge ya Salum Mwalimu yafutwa “Alipe gharama” (+video)

Mahakama Kuu ya Tanzania imeifuta kesi ya Uchaguzi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni yaliyompa ushindi Maulid Mtulia ambayo ilifunguliwa na mgombea wa CHADEMA, Salum Mwalimu.
Wakili wa Mtulia, Leornad Manyamaamezungumza na Ayo Tv kwamba Mwalimu alifungua kesi hiyo kupinga matokea hayo ya uchaguzi ambapo kesi hiyo imefutwa kwa gharama.
Kutokana na sheria ya uchaguzi anayefungua kesi Mahakamani anapaswa kuweka dhamana kwa watu unawafungulia kesi hiyo ambapo yeye alitakiwa atoe Mil.15 lakini alishindwa ambapo alitakiwa alete maombi ambayo tuliyawekea pingamizi, hivyo kesi imefutwa na anatakiwa kulipa gharama,amesema.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list