Ni ushindi ambao umewapa furaha Watanzania kuanzia waliokuwepo uwanjani na hata waliokua nje ya uwanja, hali ilikuaje kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ambae ni miongoni mwa waliokuwepo uwanjani? ukweli ni kwamba alifurahi sana na hakusita kuserebuka wakati nyavu zilipotikiswa, bonyeza play hapa chini kumtazama kwenye video fupi
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment