Furaha haijaisha na bado shamrashamra zinaendelea kuanzia uwanjani mpaka barabarani, nyumbani mpaka baa… hii video fupi hapa chini ilirekodiwa kwenye chumba cha Wachezaji wa Taifa Stars wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makondaalipoingia baada ya mechi ambayo Stars wameibuka na ushindi wa 3-0 vs Uganda.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment