Katika kampeni ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na DC wa Kisarawe Mh. Joketi Mwegelo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City walihudhuria viongozi mbalimbali wa Serikali lakini pia pamoja na wadau mbalimbali wa Sanaa ikiwemo wasanii na hata watu ambao sio wasanii ila wana umaarufu.
Katika hafla hiyo walifanikiwa kuongea viongozi mbalimbali na wadau mbalimbali katika kutoa ahadi ya kuchangia angalau chochote walichojaliwa nacho kwa ajili ya kupata pesa zitakazo saidia kujenga shule ya kwanza ya bweni ya wasichana katika wilaya hiyo ya kisarawe na
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara alipata na nafasi hiyo na kuahidi milioni 10 lakini milioni 10 nyingine alimtea mheshiwa na kumwambia kuwa siku ya mchezo avae jezi ya Simba katika mchezo dhidi ya TP Mazembe na hapo atamuongezea milioni 10 zingine.

Msikiliza Manara:-
No comments:
Post a Comment