Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 29 March 2019
Kutoka katika ukurasa wa Twitter wa Yanga leo mchana wameandika habari kuhusiana na kikosi chao ambacho kilitua jana kwa ndege jijini Mwanza kikitokea Dar Es Salaam
Kupitia ukurasa huo wa Twitter Yanga wameandika ujumbe
Kikosi chetu kiko salama kabisa, wachezaji wote wa hali nzuri, baada ya mazoezi ya jana chuo cha Butimba, jioni hii mazoezi ya mwisho yatafanyika CCM KIRUMBA.
Kikosi chetu kiko salama kabisa, wachezaji wote wa hali nzuri, baada ya mazoezi ya jana chuo cha Butimba, jioni hii mazoezi ya mwisho yatafanyika CCM KIRUMBA. pic.twitter.com/C6SO0pc66M— Young Africans SC (@yangasc1935)March 29, 2019

No comments:
Post a Comment