Meya wa Ilala, Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu nafasi yake na kusema kuwa mapenzi yake ya dhati yapo katika Chama cha Mapinduzi (CCM).
"Nawashukuru Chadema kwa kunipa nafasi ya kugombea, mimi nitaendelea kuwaheshimu lakini ukweli mimi mapenzi yangu ya dhati ni CCM," amesema Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko akitangaza kujiuzulu nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment