Mbunge wa jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibana serikali juu ya mlundikano wa leseni kwa wavuvi, jambo ambalo linafanya wavuvi wa Mkoa wa Kigoma kushindwa kushindana kibiashara na wavuvi kutoka nchi zinazolizunguka Ziwa Tanganyika.
Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdalla Ulega . Tazama hapo chini
Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdalla Ulega . Tazama hapo chini
No comments:
Post a Comment