Mshambuliaji wa Ndanda Fc Vitalis Mayanga amesajiliwa na Simba kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa.
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo imesema Mayanga pamoja na beki Zana Coulibaly tayari wamepata leseni za CAF na watakuwa tayari kuitumikia Simba katika michezo ijayo ya ligi ya mabingwa
Hata hivyo wachezaji hao watakosa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly
No comments:
Post a Comment