We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, February 1, 2019

Naibu Waziri Kijaji hajawaacha salama wapinzani, Zitto naye katajwa “mnakula matapishi”

February 1, 2019 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji alisimama Bungeni kujibu hoja za baadhi ya Wabunge wakati wa kuhitimisha hotuba za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)ambapo alihoji ni kwanini wapinzania wanapopewa ufafanuzi wa tuhuma za upotevu wa Trilion 1.5 wanaibuka na hoja zisizo na mantiki kwa taifa.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list