Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Jay Melody ameweka wazi kuwa kwa sasa angefurahi zaidi kufanya kazi na Diamond Platnumz kwani anaamini kwa uwezo aliyonao wangefanya kolabo kali zaidi Tanzania.
Jay Melody akiongea na Bongo5, amesema kuwa wasanii wote wa WCB wakali, ila anawaelewa zaidi Mbosso na Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment