NI Headlines za mchezaji Aubameyang anaekipiga katika klabu ya Arsenal huko nchini Uingereza, siku za hivi karibu mchezaji huyo ameonekana na gari aina ya Ferrari lenye thamani ya shilingi Paundi Milioni 3 sawa na fedha za kitanzania Bilioni 8.
Nimekusogezea hii video hapa ujionee jinsi alivyoingia nalo barabarani kisha akashuka na kuzungumza na mashabiki
No comments:
Post a Comment