We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, October 1, 2019

Simba yaendea na program za mazoezi Gymkhana

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba leo wameendelea na program za mazoezi kujiandaa na michezo inayofuata
Simba imerejea jana kutoka kanda ya ziwa ilikofanikiwa kuondoka na alama zote sita kwa kushinda michezo miwili dhidi ya Kagera Sugar na Biashara United
Hata hivyo baadhi ya wachezaji hawakuonekana mazoezini lakini kocha Mkuu Patrick Aussems amesema ana taarifa zao
Kiungo Jonas Mkude ni miongoni mwa wachezaji ambao hawakufika mazoezini leo
Wengine ni Hassani Dilunga na Meddie Kagere wakati mkongwe Erasto Nyoni alifika lakini hakufanya mazoezi
Nyota wengine waliendelea na program za mazoezi isipokuwa Gadiel Michael na Clatous Chama ambao ni majeruhi na wamepewa program maalum

TUMEBORESHA APP YETU, TAFADHALI BOFYA HAPA CHINI KUDOWNLOAD APP YETU MPYA ILI KUENDELEA KUPOKEA HABARI KWA WAKATI NA KUTAZAMA MECHI ZOTE LIVE ( UKISHA BOFYA, BONYEZA NENO OPEN IN PLAY STORE KISHA INSTALL )

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU MPYA BURE KABISA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list