We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, October 1, 2019

Kifahamu kijiji cha wauza Figo ‘Kidney Village’ kilichopo nchini Nepal

Kuna hii ya kuifahamu kuhusu Kijiji cha Hokse nchini Nepal kimebatizwa jina jipya la ‘Kidney Village’ baada ya Watu karibia wote wanaoishi kwenye kijiji hicho kuwa wameuza Figo zao.
Inadaiwa kuwa Wakazi wa Kijiji hicho hali zao za kiuchumi ni duni sana kitu kinachowasukuma kuingia katika biashara ya kuuza Figo zao ili wapate fedha za kujikimu mahitaji yao.


Mkazi mmoja aliyetambulika kwa jina la Geeta mwenye miaka 37 alisema kuwa yeye na Mume wake walisafiri mpaka kwenye Hospitali moja huko nchini India ili kutolewa Figo zao na kulipwa zaidi ya shilingi Milioni 3 za Kitanzania.
Aidha familia hiyo ilitumia fedha hizo kununua kiwanja na kujenga nyumba yao na isivyo bahati nyumba hiyo iliangushwa na tetemeko la ardhi lililotokea kijijini hapo.
Kwa upande mwingine madalali wanaofanya biashara hiyo ya figo wametajwa kuzunguka sana katika kijiji hicho na kuwashawishi Wanakijiji hao kuuza Figo zao

TUMEBORESHA APP YETU, TAFADHALI BOFYA HAPA CHINI KUDOWNLOAD APP YETU MPYA ILI KUENDELEA KUPOKEA HABARI KWA WAKATI NA KUTAZAMA MECHI ZOTE LIVE ( UKISHA BOFYA, BONYEZA NENO OPEN IN PLAY STORE KISHA INSTALL )

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU MPYA BURE KABISA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list