Ufafanuzi umetolewa kuwa Charangwa Makwiro ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala. Aliyehamishwa kituo cha kazi Kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Itigi ni John Magalula.
TUMEBORESHA APP YETU, TAFADHALI BOFYA HAPA CHINI KUDOWNLOAD APP YETU MPYA ILI KUENDELEA KUPOKEA HABARI KWA WAKATI NA KUTAZAMA MECHI ZOTE LIVE ( UKISHA BOFYA, BONYEZA NENO OPEN IN PLAY STORE KISHA INSTALL )
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU MPYA BURE KABISA
No comments:
Post a Comment