We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 12, 2019

ZESCO yawasili, Lwandamina afunguka machache

Timu ya ZESCO United imewasili jijini Dar es salaam kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa
Kocha Mkuu wa timu hiyo George Lwandamina, ameongoza msafara uliojumuisha wachezaji 19 akiwemo mkongwe Thabani Kamusoko
Akizungumza baada ya kutua JNIA, Lwandamina amesema amekuja nchini akifahamu anakabiliwa na mchezo mgumu mbele yake
Amesema licha ya kuondoka Yanga mwaka jana, timu hiyo imebadilika sana
"Yanga ni mpya.. ina kocha mpya, wachezaji wapya na viongozi wapya, mtu pekee ninayemfahamu ni kijana wangu Noel Mwandila..!," alisema
"Mchezo hautakuwa mwepesi lakini tumejiandaa kupambana kupata matokeo"

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list