We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

Waziri Lugola amvaa Cyprian Musiba ( VIDEO )

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ametoa onyo la mwisho kwa ‘mwanaharakati huru’ Cyprian Musiba,kuacha mara moja kuchafua watu kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa serikali jambo ambalo limekuwa likileta sintofahamu kwa Watanzania. Lugola amesema edapo Musiba akithubutu kuendelea kuchafua watu hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake bila kuonea huruma. Lugola amesema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na wanahabari huku akimtaka musiba kutumia uanaharakati wake kwa kufanya mambo mengine badala ya kutukana na kukashifu watu mitandaoni.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list