We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

Tuko tayari kwa mchezo - Mwandila

Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila amesema kikosi cha timu hiyo kiko tayari kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa
Mwandila alimuwakilisha kocha Mwinyi Zahera kwenye Mkutano wa Waandishi wa habari ambao uliwahusisha makocha wa timu zote
"Tumefanya maandalizi ya kutosha, timu yetu iko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho," amesema
Mwandila pia amethibitisha kuwa Yanga itawakosa mshambuliaji David Molinga na beki Suleyman Mustafa ambao leseni zao bado hazijafika kutoka Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)
Kwenye Mkutano huo, Mwandila alikutana 'uso kwa uso' na kocha George Lwandamina kocha wa ZESCO United ambaye ndiye aliyemleta klabu ya Yanga mwaka 2016 wakati akiwa kocha Mkuu

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list