We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 3, 2019

Waziri aulizwa kuhusu ndege na wajuu zake

Waziri ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, amewataka watanzania wasiwe na hofu kwani Serikali inafanya juhudi kubwa za kuikomboa ndege ya ATCL iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini.

Waziri Kamwelwe ameyabainisha hayo leo Septemba 3, 2019, wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Shirikisho la Kimataifa la watoa huduma za Anga na Uongozaji Ndege (CANSO).
“Ndio maana hata lilipotokea tatizo la ndege yetu, kwakweli niwashukuru watanzania hata wajukuu zangu sijui aliwaambia nani walikuwa wananiuliza babu ndege iko wapi, nikashaangaa kumbe na wao wanalijua hili, nikawaambia tulieni inarudi, hata waandishi wa habari ndio maana nimekataa msinihoji tunaheshimiana  na nyinyi mnahaki ya kuuliza lakini kwa juhudi kubwa zinazofanyika itarudi tu”, amesema Waziri Kamwelwe.
Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ilishikiliwa nchini Afrika ya Kusini Agosti 24,2019, kwa amri ya Mahakama nchini humo, kutokana na kesi iliyofunguliwa na raia mmoja wa huko.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list