We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 15, 2019

Waziri ataja vigezo vya kupandisha bei ya maji

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa, ameziagiza mamlaka za maji nchini kuongeza udhibiti wa maji yanayopotea, kabla ya kuongeza gharama za matumizi kwa watu.

Waziri Mbarawa amesema hayo wakati akizindua mradi wa maji katika Kijiji cha Shilima wilayani Kwimba, mkoani Mwanza ambao umejengwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza.
Kuanzia sasa tutaweka utaratibu, kila mamlaka itatakiwa kufikisha wateja kiasi fulani, la sivyo itazuiwa kuongeza gharama kwa wateja wake” amesema Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na maombi mengi ya kuongeza gharama za matumizi ya maji, na kupelekea mamlaka nyingi kuingiza gharama hizo kwa wananchi kupitia ankara zao za malipo ya matumizi ya maji.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list