We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 15, 2019

USHIRIKIANO WA POLISI BURUNDI NA TANZANIA,WAKAMATA MAJAMBAZI SABA''WAKIPIGA WANAKIMBIA BURUNDI''

Jeshi la polisi la nchi ya Burundi likishilikiana na jeshi la polisi la Mkoa wa Kigoma wamefanikiwa kuwakamata watu saba nchini Burundi wanaoshukiwa kuwa majambazi ambao wamekuwa wakitekeleza matukio ya uhalifu na ujambazi wa kutumia silaha Mkoani Kigoma. Tukio hilo linathibitishwa na Msemaji wa jeshi la polisi nchini Burundi Meja Pierre Nkurikiyo mara baada ya kukutana na Kamanda wa polisi mkoani Kigoma ACP Martin Otieno mpakani mwa Tanzania na Burundi katika kjiji cha Mabamba wilayani kibondo mkoani humo. Meja Nkurikiyo ameeleza kuwa baada ya mahojiano wamebaini kuwa majambazi hao wanatokea nchini Burundi ambapo wamekuwa wamekuwa wakienda katika makambi ya wakimbizi nchini Tanzania na kudai kuwa wao ni wakimbizi kisha kutekeleza matukio ya uhalifu na kukimbilia nchini Burundi.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list