We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

Waliovamia shamba la Rais Magufuli, DC aagiza wakamatwe ndani ya siku saba (+video)

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 wa shamba la Fofo Estate baada ya kutangaza kurejesha shamba hilo kwa Vijiji vinne vinavyotajwa kulimiliki awali huku akiamuru watu watatu wkamtwe.
Mgogoro huu wa shamba namba 240 na 242 lijulikanalo kama Fofo Estate ulikuwa baina ya Wananchi wa Vijiji vinne vya Urori, Tella, Mula na Usali vilivyoko Kata ya Machame Narumu dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Ushirika cha Narumu Manushi, Peter Karanti anayedaiwa kujimilikisha shamba hilo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list