We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

Shonza apangua hoja ya TBC kubagua Vyama vya Upinzani


Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa kumekuwa na malalamiko kwa TBC kubagua baadhi ya vyama vya upinzani jambo ambalo limepingwa vikali.

Shonza amesema kuwa yeye kama Naibu Waziri ameuhakikishia umma kuwa TBC ni chombo cha kila mtu kwasababu kinaendeshwa kwa kodi za Watanzania.

"Kuna malalamiko kwamba TBC inachagua baadhi ya Vyama katika Uendaji kazi wake,  mimi Naibu Waziri ninatumia kuwahakikishia kuwa TBC ni chombo cha umma nikisema chombo cha umma ni chombo ambacho hakina itikadi ya vyama," amesema Shonza.

"Kwahiyo upinzani wasisite kuleta habari zao katika chombo hiki cha umma na kinaendeshwa kwasababu ya kodi za Watanzania."

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list