We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 18, 2019

UCHAGUZI ISRAEL: Ngoma nzito kwa Netanyahu ashindwa

Matokeo ya awali katika uchaguzi wa Israel yanaonyesha kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu pamoja na washirika wake wa siasa za kidini na kizalendo wameshindwa kupata idadi ya kutosha ya Wabunge katika uchaguzi wa kitaifa uliofanyika hapo jana hali ambayo inatoa nafasi kwa mazungumzo ya kuunda Serikali ya Muungano .
Hata hivyo matokeo hayo ya awali uchaguzi bado hayatoi uhalali wa matokeo kamili huku matokeo kamili yakitarajiwa kutolewa leo na hivyo huenda yakabadilika ingawa vituo vyote vitatu vikuu nchini nchini Israel vilivyotoa majibu hayo ya awali vimetoa majibu sawa ya matokeo ya awali majibu ambayo yanaashiria Wagombea Netanyahu pamoja na mwenzie Gants kuwa na wakati Mgumu wa majadiliano kwa ajili ya kuunda Serikali ya Muungano .
Wabunge katika chama cha Gantz wameelezea uungaji mkono wao wa serikali ya muungano ambayo huenda ikajumuisha wadhfa wa waziri mkuu ambao utakuwa unazunguka kwa watu tofauti.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list