We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 6, 2019

Tweet ya Rapper Nick Minaj kutangaza kuacha muziki

NI headlines za Rapper wa kike kutokea Marekani, Onika Tanya Maraj maarufu kama Nick Minaj ambae leo Septemba 5, 2019ameutangazia umma kustaafu kazi ya Muziki.
Staa huyo ameujulisha umma kustaafu kwake kupitia mtandao wake wa twitter kwa kuyasema haya’Nimeamua kustaafu niwe na familia yangu najua kwasasa mtakua na furaha, kwa mashabiki zangu endeleeni kushirikiana na mimi mpaka kifo changu’– Nick Minaj.
Baada ya Nick Minaj kuandika ujumbe huo mashabiki wamekuwa na maswali pasipo na majibu juu ya uamuzi huo uliofanywa na staa huyo.
Rekodi ya mwisho ambayo ilimrudisha kwenye headlines mnamo June 21, 2019 inaitwa Megatron ambayo kupitia mtandao wa Youtube rekodi hiyo imetazamwa na zaidi ya watu 64,011,930

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list