Kiungo wa zamani wa Simba Shiza Kichuya amerejea klabu ya Pharco Fc iliyomsajili kutoka Simba mapema mwaka huu
Baada ya kujiunga na timu hiyo, Kichuya alitolewa kwa mkopo klabu ya ENPPI iliyokuwa ikishiriki ligi kuu
Hata hivyo inaelezwa Kichuya alisaini mkataba wa miezi sita hivyo kurejea nyumbani baada ya mkataba wake kumalizika
Pharco Fc inashiriki ligi daraja la pili huko Misri

No comments:
Post a Comment