We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 3, 2019

TCRA yazipiga faini TV za mitandaoni kwa kuonesha miili ya waliokufa ajali ya moto Moro

Kamati ya TCRA imetoa onyo kali kwa kwa TV za Mtandaoni za Lemutuz na Global na kuwataka kuomba radhi kwa siku saba mfululizo kwa kosa la kuchapisha na kuonyesha picha mbalimbali za miili ya watu walioteketea kwa moto kwenye ajali ya gari huko Morogoro kinyume cha sheria kanuni na maadili ya uandishi wa habari na utangazaji.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list