We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

RC MWANRI AIBUKIA TARURA,AMBANA MRATIBU "NILETEE WOTE SIWEZI KUCHAPA KABURI"

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemuagiza mratibu wa TARURA mkoa wa Tabora kumpatia orodha ya wataalamu waliosimamia ujenzi wa barabara chini ya kiwango kati ya mwaka 2012/13 wakati huo zikiwa chini ya Halmashauri baada ya kudhuru katika baadhi ya barabara zilizo chini ya mamlaka hiyo na kubaini mapugufu yaliyofanyika wakati wa ujenzi "Waliofanya mambo haya wanaweza wakawa katika system yetu na kama yuko Masasi nitamuomba Mheshiwa Jafo aniletee na kama amekufa basi maana siwezi kuchapa kaburi"RC MWANRI

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list