We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 30, 2019

Polisi wavamia mkutano wa Mbowe Jimbon kwake, DC akiri kuwatuma (+video)

Jeshi la Polisi wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro leo limezingira mkutano wa ndani wa viongozi wa Chama Cha Demokransia na maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ukiongozwa na Mbunge wa jimbo hilo, Freeman Mbowe.
Mkuu wa Wilaya hiyo Lengai Ole Sabayaamethibitisha kutuma polisi hao akidai lengo ni kuhakikisha usalama wa Mbowe na wananchi kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list