We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, September 14, 2019

Polepole aagiza Mil 200 zitengwe kwa vijana/wamama

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Humphrey Polepole, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Modest Alpolnary, kutenga kiasi cha Shilingi Milioni 200 kwa ajili ya kuvisaidia vikundi vya vijana na Wanawake wa chama hicho kuanzisha viwanda.

Polepole ameyabainisha hayo wakati wa uzinduzi wa Geita ya Kijani ulioandaliwa na UVCCM Mkoani humo.
''Wote wapigwe semina, waambiwe maana ya viwanda hivyo, waambiwe namna ya fursa zilizopo, wapewe ujuzi wa namna ya kuviendesha'' amesema Polepole.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Geita Manjale Magambo,amemuomba Polepole kufikisha kilio cha vijana ambao, wamekuwa wakifukuzwa kazi na  baadhi ya Migodi ya dhahabu hapa nchini na kisha taarifa zao kusambazwa kwenye migodi yote ili wasiajiliwe popote pale.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list