We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, September 14, 2019

Manara ajipachika jina la Kamusoko

Haji Manara, Afisa Habari wa klabu ya Simba anafaamika zaidi kwa vituko na matukio mengi ya kufurahisha ambayo huyafanya
Baada ya Yanga kulazimishwa sare ya bao 1-1 na ZESCO United huku kiungo wa zamani wa timu hiyo Thabani Kamusoko akiifungia timu yake bao la kusawazisha kwenye dakika ya 94', Manara amejipachika jina la Kamusoko
"Naitwa Haji Thabani Scara Manara kamusoko," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram
ZESCO wameweza 'kuchomoa' kupoteza mchezo dhidi ya Yanga leo uwanja wa Taifa Kamusoko akifunga bao kwa shuti kali kwenye dakika za majeruhi

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list