Bodi ya Wakurugenzi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC imemteua Mtangazaji mashuhuri wa shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Salim Kikeke kuwa Balozi wa Simba Sports Club nchini London.
Kupitia ukurasa wa Twitter Mohammed Dewji ameandika “Bodi ya Wakurugenzi tumemteua Mtangazaji wa BBC, Ndg. Salim Kikeke kuwa Balozi wa Simba Sports Club wa mji wa London, Uingereza. Hongera Salim Kikeke, tunaimani na wewe utaipeperusha vyema bendera ya Simba”.
Bodi ya Wakurugenzi tumemteua Mtangazaji wa BBC, Ndg. Salim Kikeke kuwa Balozi wa Simba Sports Club wa mji wa London, Uingereza. Hongera @salim_kikeke, tunaimani na wewe utaipeperusha vyema bendera ya Simba.
93 people are talking about this
No comments:
Post a Comment