We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 10, 2019

MKUU WA MAJESHI AWATANGAZIA NEEMA VIJANA WA JKT

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Venance Mabeyo  ambapo amesema Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) operesheni Kikwete na Magufuli waliojitolea kujenga ukuta wa Mererani ambao hawajaingizwa kwenye mchakato wa ajira wametakiwa kesho kujisalimisha JKT Mgulani kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kuhakikiwa na kuandikishwa ndani ya jeshi la JWTZ.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list