We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 10, 2019

Chatu wa maajabu wananchi wampa mbuzi wabarikiwe, waliompiga wamekufa (+video)

Wananchi Mkoani Geita wamejitokeza  kutoka maeneo mbalimbali kwenda katika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi, Wilayani Chatokwa ajili ya kumshuhudia nyoka wa ajabu huku wakipeleka zawadi  na sadaka zikiwemo mbuzi, mtama na unga na kwamba endapo hakipokea sadaka na zawadi hizo kwao ni baraka  kutokana na sadaka yao kukubaliwa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list