We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, September 12, 2019

Mahakama yaamuru familia ya aliyafariki akifanya mapenzi kulipwa fidia


Kampuni moja nchini Ufaransa imeamriwa na mahakama kulipa fidia kwa familia ya mfanyakazi wake aliyefariki akifanya mapenzi alipokuwa katika safari ya kikazi.

Mahakama hiyo imesema kifo cha mfanyakazi huyo kilitokea akiwa kazini hivyo hiyo ni ajali kazini na lazima famila ilipwe na kampuni.

Kampuni hiyo ilikuwa imesusia kulipa fidia kwa madai kuwa mfanyakazi huyo alikutwa na mauti wakati hakuwa anafanya shughuli za kampuni kwa kumkaribisha mwanamke asiyemjua kulala naye hotelini.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list