We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 17, 2019

Magufuli awavaa RC Makonda na Mkurugenzi “hupewi hela bila kazi” (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wa Mkoa wa DSM, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha ujenzi wa machinjio ya ng’ombe, mbuzi na kondoo ya Vingunguti Jijini Dar es Salaam unafanyika usiku na mchana ili ukamilike haraka. 
Rais Magufuli ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kushtukiza katika machinjio hiyo na kujionea hali mbaya ya miundombinu inayotumika hivi sasa na kasi ndogo ya ujenzi wa jengo la machinjio mpya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list