Mahakama Kuu ya Tanzania imepanga Septemba 9, 2019 kutoa uamuzi wa jumla kuhusu maombi ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu kutetea ubunge wake wa Singida Mashariki.
Baada ya kupangwa kwa tarehe hiyo, Kaka Lissu Allute Mughwai ameweza kuzungumza na Waandishi wa Habari.
No comments:
Post a Comment