We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, September 14, 2019

Haya hapa Matokeo ya Mechi ya Yanga vs Zesco united Leo

Mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya ZESCO United uliopigwa uwanja wa Taifa umemalizika kwa sare ya bao 1-1
Mkongwe Thabani Kamusoko ndiye aliyeharibu sherehe ya Yanga akiifungia timu yake bao kwenye dakika za majeruhi
Patrick Sibomana alitangulia kuifungia Yanga bao la kuongoza kwa mkwaju wa penati kwenye dakika ya 25 baada ya Sadney Urikhob kuangushwa ndani ya eneo la hatari
Ni mchezo uliokuwa wazi kwa timu zote kuwa na vipindi vya kushambuliana kwa zamu
Yanga sasa ina kazi ya kusaka matokeo ugenini ili iweze kutinga makundi kama ilivyokuwa mchezo dhidi ya Township Rollers
Kikosi cha Yanga kimeonyesha kina uwezo wa kufanya vizuri kwenye mchezo huo wa pili

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list